Safi sana mkuu, Sasa tukumbushe na majina ya kiasili ya tanzania manake siku hizi wamejaa akina mohamed na akina john tu,aibu ya utakuta m2 majina yake yote matatu hamna hata moja la kinyumbani mfano, richard charles william, au hassan mohamed abdallah hii sini aibu?

Post a Comment. Wednesday, October 10, Je unalijua Kabila lako vizuri? Haya ni Makabila Yanayopatikana Nchini Tanzania.

waha wa kigoma

Kuna matatizo kwenye majina kadhaa katika orodha hii, kwasababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya Ethnologue ya lugha za Tanzania, pamoja na tovuti nyingine. Inawezekana kwamba baadhi ya majina ya makabila ni majina ya lugha au lahaja badala ya makabila, na labda majina mengine yaliandikwa vibaya.

Juu ya hivyo, hakuna ufafanuzi wa wazi kusema kwamba kikundi fulani ni kabila au siyo. Vikundi kadhaa katika orodha hii vina wenyeji mamia tu, lakini vikundi vingine vinavyo mamilioni ya watu; labda kila kikundi kinaitwa "kabila," lakini ni jamii za aina tofauti kabisa. Vikundi katika ukurasa huu vimeorodheshwa kuwa vikundi tofauti kutokana na ushahidi kutoka Ethnologue kutofautisha lugha zao. Hii ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Tanzania, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Tanzania na nchi za jirani.

Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi katika Tanzania kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani. Ukurasa huu hauorodheshi vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia au Uhindi. Lugha yao ni Chasi. Lugha yao ni Kibembe. Lugha yao ni Kibena. Lugha yao ni Kibende. Lugha yao ni Kibondei. Lugha yao ni Kibungu. Lugha yao ni Kiburunge.

waha wa kigoma

Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo. Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo ya Kichagga yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki Tarakea, Rombo hadi magharibi ya Kilimanjaro Siha, Machame.

Lugha ya Kichagga, inabadilika kuanzia unapotoka Tarakea mpaka unapofika Siha magharibi mwa Kilimanjaro. Lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na jinsi makabila hayo yalivyopakana.

I think i have pancreatitis reddit

Vile vile Kisiha kinafanana sana na Kimachame ambacho pia kinafanana kidogo na Kikibosho. Baadhi ya Wamachame walihamia sehemu za Meru Arusha na kuchanganyikana na Waarusha, lugha yao ikabadilika kidogo na kuwa Ki-meru.

Kwa sababu hii Wameru wanasikilizana sana na Wamachame ingawa lafudhi zao zinatofautiana kidogo. Majina ya Kichagga. Wachagga wengi hupenda kurudi nyumbani kipindi cha Krismasi, ikiwa ni kuwatembelea wazazi wao, rafiki, au ndugu.

Ingawa wengi hudhani kwamba Wachagga wameathiriwa sana na dini ya Ukristo kwa kuwa wengi wao ni Wakristo na hiki huwa ni kipindi cha likizo kwao, inaaminika pia kuwa kurudi kwao Uchagani wakati wa Krismasi ni pamoja na kutembelea ndugu zao na kujumuika pamoja katika kuumaliza mwaka baada ya kazi nyingi za kutafuta pesa kwa mwaka mzima.

Wadatooga pia huitwa Wataturu, Wamang'ati au Wabarabaig ni kabila la Tanzania wanaoishi katika mikoa ya Manyara na Singida. Lugha yao ni Kidatooga.

Ugali wa Rowe: Chakula asili cha Wamanyema na Waha huko Kigoma

Wadigo ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Tanga, hasa kwenye mji wa Tanga. Pia wako Kenya wanapoishi upande wa Kusini wa mji wa Mombasa.Ugali wa Rowe unapata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo. Unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba, unaliwa kwa mboga ama bila mboga, unaweza kusafiri nao popote kwenye begi.

Lg k8 firmware update

Ugali huu ni biashara inayopata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo. Lishe bora, kufanya mazoezi na afya nzuri ya akili yote yanaweza kuimarisha tendo la ndoa. Kwanini kumeshuhudiwa ongezeko la matumizi ya maziwa na Ngamia duniani? Maelezo ya picha, Je unajua kwamba upo ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja?

Ugali huu unaitwa Rowe. Maelezo ya picha, Unatengenezwa kutokana na muhogo. Maelezo ya picha, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Maelezo ya picha, Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7. Maelezo ya picha, Ugali wa Rowe baada ya kusongwa.

Maelezo ya picha, Unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba, unaliwa kwa mboga ama bila mboga, unaweza kusafiri nao popote kwenye begi.

Maelezo ya picha, Ni chakula cha asili cha watu wa Kigoma hasa kabila la Waha na wamanyema.

Kigoma Region

Maelezo ya picha, Ugali huu ni biashara inayopata umaarufu mkubwa siku hadi siku, magharibi mwa Tanzania na nchi za Rwanda, Burundi na Congo. Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii. Ni vyakula gani vinavyoweza kuimarisha tendo la ndoa? Kwanini matumizi ya maziwa na Ngamia yanaongezeka duniani?Kigoma Region is one of Tanzania 's 31 administrative regions.

The regional capital is the city of Kigoma. According to the national census, the region had a population of 2, which was higher than the pre-census projection of 1, Kigoma Region resides in the northwestern corner of Tanzania, on the eastern shore of Lake Tanganyika. The region is bordered to the north by both Burundi and the Kagera Region. To the east, it is bordered by the Shinyanga and Tabora regions, to the south by the Rukwa Regionand to the west by Lake Tanganyikawhich forms a border with the Democratic Republic of the Congo.

As of [update]approximately 20, square kilometres was in forests and 12, square kilometres was suitable for grazing or farming. Kigoma Region is on a plateau that slopes from the northeast at about 1, meters down to meters at the shore of lake Tanganyika. In precolonial Africa the region was a source of ivory and slaves.

The region is administratively divided into eight districts: [2]. Kigoma region has a total population of 2, Ha people are the largest ethnic group living here. People from neighboring countries mostly Burundi and Congo may be present but are mostly engaged in business.

Mkoa wa Kigoma

From Wikipedia, the free encyclopedia. Region in western, Tanzania. The eastern shores of Lake Tanganyika. Kigoma Region. Kigoma Region at Wikipedia's sister projects. Retrieved United Republic of Tanzania.

Archived PDF from the original on 30 May New York: Broadway Books. National Bureau of Statistics. Archived from the original PDF on June 12, Regions of Tanzania. Districts of Kigoma RegionTanzania. Categories : Regions of Tanzania Kigoma Region.Kigoma Ujiji ni manispaa katika Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania na makao makuu ya mkoa huo yenye msimbo wa posta [1]. Inaunganisha miji ya kihistoria ya Ujiji na Kigoma. Manispaa hii ilikuwa na wakazi wapataowakati wa sensa ya mwaka Kigoma na Ujiji iko kando ya Ziwa Tanganyikamagharibi mwa Tanzania.

Ujiji ni kati ya miji ya kale zaidi katika Tanzania bara. Ilikuwa kituo kikuu cha njia ya misafara iliyofika hapa kutoka miji ya pwani kama vile BagamoyoSaadani au Pangani. Kutoka hapa bidhaa kama pembe za ndovu na watumwa kutoka Kongo na Tanzania bara zilipelekwa tena pwani. Tangu uenezaji wa ukoloni wa Kijerumani Ujiji ilikuwa pia mahali pa makampuni ya Kizungu na makao makuu ya Mkoa wa Ujiji katika utawala wa koloni [3]. Tangu kufikia kwa meli za kisasa ikaonekana ya kwamba mwambao wa Ujiji haukufaa sana kwa meli na hivyo mji mpya ulianzishwa kwenye hori la Kigoma karibu na Ujiji.

Mji mpya ya Kigoma ukakua haraka ukawa pia kituo kikuu cha Reli ya Kati kutoka Dar es Salaam iliyokamilishwa mwaka miezi michache kabla ya. Mji ulianzishwa wakati wa ukoloni wa Kijerumani kwenye rasi ndogo inayoingia katika maji ya Ziwa Tanganyika na kuwa na nafasi ya bandari kwa meli za ziwani.

Hapa ilikuwa pia mwisho wa Reli ya Kati kutoka Dar es Salaam. Baada ya kukamilishwa kwa njia ya reli katia Februari vipande vya meli mpya Goetzen vilifika Kigoma kutoka Ujerumani vikaunganishwa hapa. Meli hii ilizamishwa wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, ikafufushwa tena na inahudumia bandari za Ziwa Tanganyika hadi leo kwa jina la "Liemba".

Wakati miji kadhaa ya Afrika ikipata majina kutokana na ujio wa wagenikuna baadhi ya miji ilipata majina yake kutokana na Waafrika wenyewe. Kutaja majina kutokana na wenyeji kulitegemea sana watuhasa wale waliokuwa maarufu kwenye jamii.

Kumbe ile miji iliyopata majina kutokana na wageni, sababu ilikuwa ni kujiwekea sifa kwa mataifa hayo na wakati mwingine mitazamo tu ya wageni hao ilisababisha mji fulani kupata jina.

Kwa upande wa miji kama Ujiji na Kigoma, watu huamini kuwa miji hiyo ilikuwa kipindi cha ukoloni. Ukweli ni kwamba Ujiji na Kigoma ilipata kukua kwa muda mrefu sana hata kabla ya ujio wa wageni kwenye maeneo hayo. Kihistoria miji hiyo ilipata majina kutokana na watu maarufu waliopata kuishi na kujiwekea historia katika miji hiyo.

3sk tv soz

Watu wengi hudhani kuwa mji wa Kigoma na Ujiji ilianzishwa na ndugu wawili waliofahamika kwa majina ya Kajiji na Kagoma Bugoye. Inaelezwa kuwa Kajiji alikuwa mkarimu, mpole na mwenye upendo kwa watu wote, na Kagoma alionekana kuwa tofauti kwa jamii. Kutokana na tabia hizo za ndugu hao wawili, wengi walimpenda sana Kajiji na kufanya maeneo aliyokuwa akiishi kupendwa na watu wengi.

Kwa kuwa idadi ya watu ilikuwa ikiongezeka, basi walipokuwa wakienda kwa Kajiji wakasema tunaenda Ubujiji kulingana na lugha ya kikabila. Wengi walikuwa wanapenda kwenda Ubujiji na kujikuta wakijazana kwenye mji huo. Hata wageni walipoingia kwenye karne ya 19, walikuta mji huo una idadi kubwa sana ya watu.

Kwa kuwa wakati huo Waarabu hawakuwa na nguvu sana hawakutaka kubadilisha jina hilo na badala yake waliamua kuendeleza mji huo na jina hilo. Mpaka ukoloni ukianzishwa bado eneo hilo lilikuwa na jina hilo, isipokuwa kukawa na mabadiliko katika orthografia na matamshi ya neno Ubujiji, ndipo tukapata jina Ujiji na hata kwenye maandiko ya wakati huo mji huo ulitambulishwa kama Ujiji.

Kwa upande wa Kagoma au Bugoye pia mambo yalikuwa hivyo, sema kwa upande wa Kagoma, mji ulipata kukua kutokana na ujio wa Wagoma katika mji wa Kagoma. Ikumbukwe kuwa Wagoma ni moja ya makabila ya Kimanyema waliokuja Tanganyika kipindi cha ukoloni karne ya Sultani wa Wagoma alikuwa akiitwa Sultani Simba. Mara baada ya Wagoma hao kusikia mji huo unaitwa Kigoma, walijisikia raha sana kwani mji ulikuwa unafanana na jina la kabila lao, hivyo kujikuta wakiupenda na kuanza kuujenga.

Ile sehemu aliyokuwa akikaa Kagoma au Bugoye palifahamika kwa jina la Ibugoye ambapo kwa sasa ndio pale Mwanga.

waha wa kigoma

Lakini kiuhalisia Wagoma walifikia maeneo ya Bangwe. Kwa kuwa ardhi ya Ujiji ilikuwa yenye rutubaWagoma walipenda kulima maeneo ya Ujiji. Kwa hiyo mji wa Kigoma na Ujiji ni miji ambayo ilijipatia historia ya pekee barani Afrika, kwani miji hiyo imepata majina yenye asili yake hapahapa.SERIKALI imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba za kulala wageni, stesheni za mabasi, stesheni za reli, mahoteli, mialo ya uvuvi pamoja na maeneo yenye muingiliano wa shughuli za kibiashara hasa vijiji vinavyojishughulisha na shughuli za kilimo,makampuni binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali.

Masauni pia aliwataka wananchi kutowahifadhi au kuwasafirisha watu wasio raia kwani ni kinyume na sheria na adhabu yake ni kifungo cha muda wa miaka ishirini au faini ya milioni ishirini au vyote kwa pamoja ikienda sambamba na kutaifishwa kwa chombo cha usafiri kilichohusika kuwasafirisha washtakiwa na kwa mwananchi atakaekutwa akimhifadhi au kumsafirisha mhamiaji haramu adhabu yake ni kifungo kisichozidi miaka mitatu na faini isiyozidi laki tano au vyote kwa pamoja.

Akizungumza katika kikao hicho Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Remigius Pesambili alisema katika kipindi cha mwezi Januari hadi Disemba, wamekamata wahamiaji haramu 3. Aliongeza pia katika kipindi cha Januari hadi Disemba raia wa kigeni 1, waliondoshwa nchini, walipewa amri ya kuondoka, walifikishwa mahakamani, waliachiwa huru baada ya kubainika kuwa hawana makosa ya kuwafikisha mahakamani na walikabidhiwa Idara ya Wakimbizi.

Kuwepo kwa wahamiaji haramu nchini kunatajwa kushamiri sana katika mikoa iliyopo mipakani huku upatikanaji wa nyenzo za kutosha ikiwemo magari,elimu kwa wananchi juu ya kutoa taarifa za wahamiaji katika eneo lao, utoaji wa vitambulisho vya taifa uelekezewe nguvu hasa zaidi katika mikoa ya mipakani,vikao vya ujirani mwema baina ya Tanzania na nchi tunazopakana nazo na utolewaji wa vibali vya wakimbizi ikiwemo kufanyika upewaji wa uraia vikitajwa uenda vikawa suluhisho la kupunguza uhamiaji haramu.

waha wa kigoma

Install Globalpublishers Application. Wahamiaji Haramu TZ Kusakwa Nyumba kwa Nyumba March 4, by Global Publishers SERIKALI imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba za kulala wageni, stesheni za mabasi, stesheni za reli, mahoteli, mialo ya uvuvi pamoja na maeneo yenye muingiliano wa shughuli za kibiashara hasa vijiji vinavyojishughulisha na shughuli za kilimo,makampuni binafsi na mashirika yasiyo ya kiserikali.

Search for:.Waha ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kigomapia mpakani kwa Burundi. Kabila la Waha limetokana na mtawanyiko wa makabila ya Warundi na Wahayakipindi cha kuhamahama kwa ajili ya kutafuta masilahi kama vile chakula na kukimbia vita.

Baada ya kufika kando ya ziwa Tanganyika na maeneo yote yanayolizunguka Ziwa Tanganyika waliweza kukaa na kuanzisha shughuli mbalimbali kama vile kilimouvuviufugaji na uwindaji. Waha walipoanza kuyazoea mazingira, walijigamba na kujidai kwa makundi ya kikoo kuwa yana nguvu, kila mmoja kwa nafasi yake. Kila ukoo ulijigamba kwa kutumia majina ya wanyamawadudundegemilima n. Kwa mfano, kuna waliokuwa wakijigamba kuwa wao ni Washubi ambao walijulikana kwa mnyama ambaye ni kondoo yaani kuwa wapole, sisimizi chunguchungu.

Walijigamba kama wakulimawengine kama konookibokon. Kilimo cha Waha ni mahindimaharagendizikahawamhogokarangambaazinjegereviazi mviringoviazi vitamumtamaulezimahoremiwampungakorosho n. Waha ni wafugaji wa ng'ombembuzikukubatanguruwesungurambwapakan. Biashara zao ni mazao wanayoyalima, samaki, na bidhaa nyingine za kawaida.

Usafiri wao wa asili ulikuwa wa miguu yao wenyewe, ambapo kuna imani ilikuwepo pia ya kusadikika kuwa walitumia ungo kusafiria kama ndege yao ya asili. Utamaduni wao, yaani ma vazi yao ilikuwa ni magome ya miti yaliyojulikana kama mpuzu, na nyumba zao ni za msongeudongo na miti, kulingana na sehemu mbalimbali, maana kuna sehemu zenye joto kama vile bonde ni, na sehemu zenye baridi kama vile nyanda za juu.

Historia ya Waha ilianzia katika kijiji kiitwacho Buha kilichopo Heru: hapo ndipo Waha walipofikia baada ya kutoka maeneo ya BurundiRwanda na Kongo. Inafahamika kuwa Waha ni moja ya makabila kutoka Wabantu wa mashariki.

Wabantu hao walipata kufika maeneo hayo hata kabla ya miaka ya yaani kabla ya Wamanyema. Wamanyema na Waha ndio wenyeji wa Kigoma.

Uenyeji huu tunaouzungumza ni miaka ya zamani sana: hata kabla ya kuanza kwa ukoloni hawa watu tayari walikuwa wakiishi pamoja na walikuwa wakipendana na kuthaminiana. Kuna vitu Waha waliwafundisha Wamanyema na pia kuna vitu Wamanyema waliwafundisha Waha na wote hawa waliipigania Tanganyika kutoka mikononi mwa serikali ya kikoloni. Hata mradi wa kuligawa bara la Afrika kati ya nchi kadhaa za Ulaya ulikuwa bado kabisa Wamanyema na Waha walikuwa wakiishi pamoja. Ifahamike kuwa asilimia kubwa ya makabila mengi yaliyopo hapa Afrika yalipata majina kulingana na wageni walivyoelewa au walivyoona.

Kuna makabila yaliyopata majina kutokana na namna wanavyopigana, yapo makabila yaliyopata majina namna wanavyopiga makelele na wengine walipewa majina kulingana na lugha yao au matamshi yao.

Kwa upande wa kabila la Waha, ambao wanapatikana katika mkoa wa Kigoma, ukweli ni kwamba kabila hili ni miongoni mwa makabila ambayo yana historia kubwa sana tangu walipofika katika ardhi hiyo na pia ni kabila lenye umaarufu mkubwa nchini.Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Masauni - Wahamiaji Haramu kusakwa kwenye ma-Gesti, Mahotelini. Na Mwandishi Wetu. Akizungumza katika kikao hicho Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kigoma,Kamishna Msaidizi Remigius Pesambili alisema katika kipindi cha mwezi Januari hadi Disemba, wamekamata wahamiaji haramu 3. Aliongeza pia katika kipindi cha Januari hadi Disemba raia wa kigeni 1, waliondoshwa nchini, walipewa amri ya kuondoka, walifikishwa mahakamani, waliachiwa huru baada ya kubainika kuwa hawana makosa ya kuwafikisha mahakamani na walikabidhiwa Idara ya Wakimbizi.

Kuwepo kwa wahamiaji haramu nchini kunatajwa kushamiri sana katika mikoa iliyopo mipakani huku upatikanaji wa nyenzo za kutosha ikiwemo magari,elimu kwa wananchi juu ya kutoa taarifa za wahamiaji katika eneo lao,utoaji wa vitambulisho vya taifa uelekezewe nguvu hasa zaidi katika mikoa ya mipakani,vikao vya ujirani mwema baina ya Tanzania na nchi tunazopakana nazo na utolewaji wa vibali vya wakimbizi ikiwemo kufanyika upewaji wa uraia vikitajwa uenda vikawa suluhisho la kupunguza uhamiaji haramu.

Watchman dummy security camera with a flashing led light

Mshirikishe mwenzako:. Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Subscribe to: Post Comments Atom. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Join the conversation

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *